Page 13 - Kichina_Drs_4
P. 13
练习 1。。Zoezi la kwanza
练习
用拼音写出下面汉字的笔画。Andika majina ya vijenzi vya hanzi vifuatavyo
kwa kutumia pinyin.
FOR ONLINE READING ONLY
____________ ____________
____________ ____________
____________ ____________
活动2。 汉字笔顺。 汉字笔顺 Kazi ya kufanya ya pili:Mpangilio wa kuandika kichina.
活动
“汉字笔顺”是指书写汉字时,各个笔画的书写顺序。Kanuni za
kuandika hanzi kwa kuzingatia mpangilio wa vijenzi ni:
1. 先撇后捺,例如:Kuanza na 撇(piě)kisha 捺(nà), mfano: 人
2. 先横后竖,例如:Kuanza na mstari wa ulalo, kisha wa wima, mfano:十
3. 从上到下,例如:Kutoka juu kuelekea chini, mfano: 三
6
09/11/2024 17:01:44
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 6 09/11/2024 17:01:44
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 6