Page 35 - Kichina_Drs_4
P. 35
第三章
第三章
我的家人
Sura ya 我的家人
Tatu Familia yangu
FOR ONLINE READING ONLY
Dìyīkè: Nǐ jiā yǒu jǐ kǒurén?
第一课:你 家 有几 口人?
第一课:你 家 有几 口人?
Somo la kwanza: Familia yako ina watu wangapi?
活动 1:听一听。听一听。 Kazi ya kufanya ya kwanza: Kusikiliza.
活动
听下面的生词并朗读,注意声调。Sikiliza sauti za maneno yafuatayo kisha
soma kwa sauti kwa kuzingatia toni.
生词 Msamiati
生词
Na. Hanzi Pinyin Maana
1. 家 jiā familia /nyumbani
2. 今天 jīntiān leo
3. 爸爸 bàba baba
4. 哥哥 ɡēɡe kaka
5. 姐姐 jiějie dada
6. 妹妹 mèimei dada (mdogo)
7. 弟弟 dìdi kaka (mdogo)
8. 有 yǒu ina/kuna (huonesha umiliki)
9. 几 jǐ ngapi/kiasi gani
10. 画画 huàhuà kuchora
11. 爱 ài kupenda
12. 和 hé na
28
09/11/2024 17:01:58
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 28 09/11/2024 17:01:58
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 28