Page 55 - Kichina_Drs_4
P. 55
写汉字 Kuandika hanzi
写汉字
B. 按照笔顺写汉字。Andika hanzi zifuatazo kwa kufuata mtiririko wa uandishi.
FOR ONLINE READING ONLY
Dì èr kè: Wǒ de hǎo pénɡyou
第二课:我 的 好 朋友
第二课:我 的 好 朋友
Somo la pili: Rafiki yangu kipenzi
活动1。听一听,说一说。。听一听,说一说。Kazi ya kufanya ya kwanza: Kusikiliza na kutamka
活动
听下面的生词并朗读,注意声调。Sikiliza sauti za maneno yafuatayo kisha
soma kwa sauti kwa kuzingatia toni.
生词:Msamiati
生词:
Na Hanzi Pinyin Maana
1. 爱好 àihào hobi (kitu apendacho mtu)
2. 乒乓球 pīnɡpānɡqiú mpira wa meza
3. 羽毛球 yǔmáoqiú mpira wa kinyoya
4. 网球 wǎnɡqiú tenesi
5. 都 dōu -ote
6. 作业 zuòyè kazi ya nyumbani
48
09/11/2024 17:02:08
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 48 09/11/2024 17:02:08
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 48