Page 68 - Kichina_Drs_4
P. 68
第五章
第五章
时间表达
Sura ya 时间表达
Tano Kutambulisha nyakati
Dì yī kè: Jīntiān xīnɡqī jǐ?
FOR ONLINE READING ONLY
第一课:今天星期几?
第一课:今天星期几?
Somo la kwanza: Leo ni siku gani?
活动 1。听一听。 Kazi ya kufanya ya kwanza: Kusikiliza
活动 1。听一听。
A: 听下面的生词并朗读,注意声调。Sikiliza sauti za maneno yafuatayo
kisha soma kwa sauti kwa kuzingatia toni.
生词:Msamiati
Na. Hanzi Pinyin Maana
1. 明天 mínɡtiān kesho
2. 昨天 zuótiān jana
3. 上午 shànɡwǔ asubuhi (saa tatu hadi saa tano)
4. 星期 xīnɡqī juma
5. 天 tiān siku
6. 星期天(日) xīnɡqī tiān (rì) Jumapili
7. 休息 xiūxi pumzika
8. 玩儿 wánr cheza
9. 牙 yá meno
10. 刷 shuā kusafisha (meno/kinywa)
活动2。听一听,说一说。。听一听,说一说。Kazi ya kufanya ya pili: Kusikiliza na kutamka
活动
听一听下面的词语并说一说: Sikiliza maneno yafuatayo kisha tamka.
Leo
昨天 zuótiān 今天 jīntiān 明天 mínɡtiān
61
09/11/2024 17:02:30
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 61
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 61 09/11/2024 17:02:30