Page 91 - Kichina_Drs_4
P. 91

Dì èr kè:   Zhè shì shéi de shū?

                                    第二课:这 是 谁  的 书?
                                    第二课:这 是 谁  的 书?
                             Somo la pili:Kitabu hiki ni cha nani?


          FOR ONLINE READING ONLY
           活动  1。听一听,说一说。。听一听,说一说。Kazi ya kufanya ya kwaza: Kusikiliza na kutamka
           活动
           听下面的词语并朗读,注意声调。Sikiliza sauti za maneno yafuatayo kisha
           soma kwa  kuzingatia toni.
           生词 Msamiati
           生词
            Na.    Hanzi           Pinyin             Maana

            1.     新               xīn                mpya,kipya
            2.     学习              xuéxí              kujifunza

            3.     谁               shéi               nani
            4.     大家              dàjiā              wote
            5.     唱歌              chànɡɡē            imba

            7.     会               huì                weza
            8.     谁的              shéi de            -a nani(ya nani,cha nani)



           练习1:Zoezi la kwanza
           练习
           朗读下面词语并说出意思。Soma maneno yafuatayo kisha tamka maana.


            唱歌 chànɡɡē          好的 hǎo de          书 shū                  谁 shéi

            谁的 shéi de          新 xīn              大家好 dàjiā hǎo          本子 běnzi




           活动 2。听一听,说一说。。听一听,说一说。  Kazi ya kufanya ya pili:Kusikiliza na kuzungumza
           活动
           角色扮演下面的对话并回答问题。Igiza mazungumzo yafuatayo kisha jibu
           maswali.
                                              Zài jiàoshì lǐ
                                              在 教室 里
                                              在 教室 里
           Xuéshenɡ:  Lǎoshī hǎo!

           学生:
           学生:      老师 好!
           Lǎoshī:    Dàjiā  hǎo, qǐnɡ zuò.
           老师:
           老师:   大家 好,请 坐。

                84



                                                                                          09/11/2024   17:02:43
     BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb   84                                        09/11/2024   17:02:43
     BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb   84
   86   87   88   89   90   91   92   93   94   95   96