Page 83 - EDK_F5
P. 83
SURA YA TATU NGUZO ZA IMANI
Athari ya nguzo za imani katika maisha
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 3.4: Nguzo za Imani.
Uislamu ni dini iliyojengwa na nguzo za aina tatu, ambazo ni nguzo za Imani, nguzo za
Uislamu na nguzo ya Ihsani.
Kwa muktadha wa sura hii, zitaelezwa nguzo sita za Imani kama zinavyoonekana katika
kielelezo namba 3.4.
Muumini wa kweli anapaswa kuamini nguzo zote hizi, kama zilivyobainishwa katika
Qur’an na Hadith za Mtume Muhammad (S.A.W), katika Qur’an nguzo tano za Imani
zinabainishwa kama ifuatavyo:
ۡ
َ َ َ ۡ َ َّ ۡ َّ ٰ َ َ ۡ َ َ ۡ َ ۡ َ َ ۡ ُ َ ُ ُ ْ ُّ َ ُ َ َّ ۡ َ ۡ َّ
نماء نم بلٱ نِكلو برغملٱو قشملٱ لبِق مكهوجو اولوت نأ بلٱ سيل
ِ
ِ
ِ ِ
ِ ِ
ۡ
َ ّ َّ َ َ ۡ َ َ َ ۡ َ َ ۡ َ َ َّ
ٰ
ٰٓ
١٧٧… نۧـيبلنٱو بتِكلٱو ِةكئلملٱو رِخلۡأٓٱ ِمولٱو ِللٱب
ِ ِ
ِ
ِ
ِ
ِ
73