Page 5 - Kichina_Drs_4
P. 5
致谢 Shukurani
致谢
坦桑尼亚教育研究院 (TIE) 感谢所有参与设计和开发这本教材的组
织和个人。坦桑尼亚教育研究院 (TIE) 特别感谢达累斯萨拉姆大学
(UDSM)、多多马大学 (UDOM)、莫罗戈罗穆斯林大学 (MUM)、国家斯
瓦西里语委员会 (BAKITA)、学校质量保证办公室、师范学院、小学
FOR ONLINE READING ONLY
和中学。同时我们也感谢以下人员对本教材编写所做出的贡献:
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), inatambua na kuthamini mchango muhimu wa
washiriki kutoka taasisi mbalimbali za umma na binafsi zilizoshiriki kufanikisha
uandishi wa kitabu hiki cha mwanafunzi. Kipekee TET inatoa shukurani kwa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Chuo Kikuu
cha Kiislamu Morogoro (MUM), Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Idara ya
Uthibiti Ubora wa Shule, Vyuo vya Ualimu na Shule za Msingi na Sekondari. Pia, TET
inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na wataalamu wafuatao:
作 者 Waandishi: Bw. Yamungu N. Kwigila (TET), Bi. Mariam B. Muhamed
作 者
(TET), Bw.Shariph R. Matumbi (UDSM), Bw. Daudi S.
Masanilo (UDSM), Bi.Tumaini T. Msimihe (Morogoro SS) na
Bw. Paul S. Malle (Samora SS).
编 辑 Wahariri: Bw. Shabani H. Saidia (UDOM), Bi. Valeria P. Urio (Ilboru SS),
编 辑
Bi. Hadija I. Chaurembo (BAKITA), Bi. Asia M. Bamila
(Senge SS) na Bw. Li Renwen (UDSM)
设 计 师 Msanifu: Bi. Eva G. Kwai
设 计 师
插画设计 Wachoraji: Bw. Fikiri A. Msimbe (TET) na Bw. Hance E. Wawa (TET)
插画设计
协 调 者 Mratibu: Bw. Yamungu N. Kwigila (TET)
协 调 者
坦桑尼亚教育研究院感谢参与稿件试用阶段的小学师生们。最后,本
研究院也特别感谢坦桑尼亚联合共和国政府在本教科书编写和印刷
方面所提供的财政支持。
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za msingi na wanafunzi
walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu hiki. Mwisho, TET inatoa shukurani za pekee
kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha zilizofanikisha
kazi ya uandishi na uchapaji wa kitabu hiki.
Aneth A. Komba 博士 Dkt. Aneth A. Komba
院长 Mkurugenzi Mkuu
坦桑尼亚教育研究院 Taasisi ya Elimu Tanzania
坦桑尼亚教育研究院
iv
09/11/2024 17:01:42
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 4 09/11/2024 17:01:42
BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb 4