Page 6 - Kichina_Drs_4
P. 6

前言 Utangulizi
                                           前言



           本书是根据坦桑尼亚教育、科学和技术部提供的2023年三至六年级
           《基础汉语教学大纲》编写的,也是基于坦桑尼亚2023年课程改革
          FOR ONLINE READING ONLY
           的第一版。

           全书共分为八章:语言基础、在家里、我的家人、介绍朋友、时间
           表达、聆听并理解信息、按指令做一做和在不同语境进行交流。

           本书的所有章节均采用互动教学法,以全面激发四年级学生参与,

           从而提高其汉语听、说、读、写的能力。本书的每一章都包含练习
           题和作业,每章末还有复习题,旨在引导学生思考并培养其汉语熟
           练度。此外,书中配有插图和图片,以便于学习。同样,本书使用

           的语言简洁易懂,能帮助学生高效学习。学生应完成本书中的所有
           活动和练习,以及教师布置的其他作业,从而在这一年达到预期的
           熟练程度。

           通过在线图书馆了解更多信息 http://ol.tie.go.tz 或 ol.tie.go.tz




           坦桑尼亚教育研究院


           Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili ya wanafunzi wa Shule za Msingi, Darasa nne, wa
           Tanzania Bara. Kimeandikwa kwa kufuata Muhtasari wa Lugha ya Kichina Shule za
           Msingi Darasa la III-VI wa mwaka 2023 uliotayarishwa kwa kuzingatia Maboresho ya
           Mtaala wa mwaka 2023.

           Kitabu hiki kina sura nane ambazo ni: Misingi ya Awali ya Lugha, nyumbani, familia
           yangu, Kutambulisha marafiki, Kutambulisha nyakati, Kusikiliza na kuelewa taarifa,
           Kufuata maelekezo, na Mawasiliano katika miktadha mbalimbali.

           Sura zote zimeandaliwa kwa kuzingatia mbinu shirikishi ili kumshirikisha kikamilifu
           mwanafunzi wa Darasa la IV kukuza uwezo wake wa kusikiliza, kuzungumza, kusoma
           na kuandika lugha ya Kichina. Kila sura ya kitabu hiki ina mazoezi na kazi za kufanya,
           pamoja na zoezi la marudio mwishoni mwa kila sura kwa lengo la kumfikirisha na
           kumjengea mwanafunzi umahiri katika Lugha hii. Vilevile, kitabu kina vielelezo na

           picha zitakazorahisisha  ujifunzaji.  Hali kadhalika,  lugha  iliyotumika  katika  kitabu




                                                                                       v



                                                                                          09/11/2024   17:01:42
     BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb   5
     BOOK - Kichina (STD 4) press (Nov 9.indb   5                                         09/11/2024   17:01:42
   1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   11