Page 132 - Arabic_F5
P. 132

Form Five

                                                                ِ
                     ِ ٍ
                                                                       ِ ِ
                                      ِ
               َ لو ةصق ةَ لـيَ ل لك هَ ل يورـت تناك اهجوزـت امَ لـف .ّ ذفلا اهئاكَ ذب زـيمتــت دازرهش
                  ًَّ
                                                     َّ َ َّ َ
                                                                         َ
                          ْ َّ ُ
                                                                               َّ
                                        َ ْ َ َ
                                                                 َ
                                                                                 ََ ُ َ ْ َ
                                                  َ َ َ
                                 ُ ْ ْ
                                                                      َ
                                                                                       َ
                                                                              ُ َ
                َ
                     ِ
                                   ِ
                                               ِ ِ ِ
                                                                                       ِ
                                                                      ِ ِ
                       ِ
                                                        َّ ِ
              ، ِ صصقْ لب ابجعم كلمـلا راصف .ةيلاَّ تلا ةَ لـيللا ف اهـتـياَ كح لصاوـت يك اهُ لمَ كت
                                                                              ُ َ
                                            َ
                                                                                          ُ
                                                                َ َ
                                 ُ
                                                       ْ
                                                                                     َ ّ
                                    َ َ َ
                                                َ
                                                                  َ
                          ًَ ُْ
                   َ
                                                                        َ َ ْ
                                                                       ِ
                                                                               ِ
                                             ِ
                                                                                         ِ
                            ٍ ِ
              ٍ
                    ِ
                                                                            ِ
                          ِ
              ةَ لـيَ ل فْ لَأ ف ةصق فْ لَأ  ِ صصقْ لا ددع لصو  َّ تح اهـتـيان فرعـيل اهْ لـتقـي ملف
                             َّ
                                                                             َْ َ ُْ
                                                                                          َ
                                                ُ ََ َ َ َ َ َ َ َ
                                  َ
                ْ
                                                                    َ
                                          َ
                                                                                      َ ْ
                                                      َ
          FOR ONLINE READING ONLY
                                                               ِ ِ
                                                                          ِ
                                                  ِ ِ
                                                                                       ٍ
                                                                                 ِ
                                                         ِ
                 .اًّ ج ابــح دازرهش هتجوز بحَأو ،ءاسنلا هرك نم كلمـْ لا يفش ارـيخَأو .ةَ لـيَ لو
                       ُ َ َ ْ َ َُ َ َّ
                                                           ُ
                       ًّ
                                                      ّ
                                                                 ُ
                                                          ْ ْ
                                     َ
                                                    َ
                                                                     َ
                                                                            ُ ْ َ ْ َ
                                            َ َ
                             َ
                                                                               ً
                                                                         َ
              TAFSIRI
              Mfalme  Shahrayar  alisalitiwa  na  mke  wake  wa kwanza,  kwa hiyo  alianza
              kuwachukia wanawake wote, na akaapa kwamba atalipiza kisasi juu yao. Hivyo,
              kila alipooa mwanamke, alimuua asubuhi ya usiku wa ndoa.
              Wanawake wote walimwogopa mfalme isipokuwa Sheherazade, binti wa waziri
              wa mfalme. Sheherazade alitofautiana na wanawake wengine kwa akili yake ya
              kipekee. Alipomuoa, alikuwa akimsimulia hadithi kila usiku na hakumaliza ili
              kuendelea na hadithi yake usiku uliofuata.
              Mfalme alivutiwa na hadithi hizo, kwa hivyo hakumwua ili kujua mwisho wake
              hadi idadi ya hadithi ikafikia hadithi elfu moja katika usiku elfu moja na moja.
              Hatimaye,  mfalme  alipona  maradhi  yake  ya kuwachukia  wanawake,  na
              akampenda sana mke wake Sheherazade.
                                                                            ِ
                                             ِ
                                                   ِ ُّ
                                                                          ِ
                                                           ِ ِ
                                         :ةــَّ يـبرعـْلا ةـغللا  َ لإ ت ْ لا َّ صـَّ نـلا مجرـت :2 جَ ذوـمـن
                                                                              َ
                                                    َ
                                                                                          َ
                                              ََ
                                                                                    ُ ْ ُ
                                                                             ْ
                                                             ْ
              Tangu zama za kale kumekuwa na harakati mbalimbali za wanadamu zenye lengo
              la kuleta amani na utulivu duniani. Amani na utulivu ni matokeo ya uadilifu
              ambao unamlinda mtu dhidi ya dhuluma na kumuhakikishia haki zake zote. Hadi
              leo,  mwanadamu  ameshindwa  kulifikia  lengo  hilo  kutokana  na  kukosekana
              uadilifu. Nchi zilizoendelea zinazinyonya  zile zinazoendelea,  na wenye vyeo
              wanawaonea walio chini yao. Matokeo yake ni kuenea kwa maafa na majanga
              katika pembe zote za dunia. Hakika wakati umefika kwa mwanadamu kuacha
              kiburi na uadui kwani sote ni ndugu wa baba na mama mmoja.
                                                                                  :ةجرـَّ تلا
                                                                                    ََ
                                                                                   ُ
                                                                                       ْ
                                                                                  ِ ِ
                                      ِ ِ ِ
                     ِ
                                    ِ
                                                     ِ ِ
               ِ ِ
              ف رارقتس ْ لاو ِ نمَْ لا قيقحتل ةفلتم ةيناسنإ تاكرح كانه تناك مدقْ لا ُ ذنم
                                                                     َ
                                     ْ ْ َ ٌَ َُْ ٌَّ ْ ٌ َ
                    ْ
                                                                                         ْ
                                                                       َُ ْ َ َ َ
                   َ ْ َ ْ
                                                                                          ُ
                                                                 َ
                                                       َ
                                                                َ
                                                   ِ ِ ِ
                               ِ
                                            ِ
                                                                        ِ
                                                                 ِ
                                                                                       ِ
                                       ِ
                                                    َّ
                       ِ ُّ
              نمضيو مْ لظلا نم ناسن ْ لإا يمي يذلا لدعْ لل ةجيتن رارقتس ْ لاو نمَْ لا .َ لاعْ لا
                                                                       ْ
                                 َ ْ
                                              َ
                                                             ٌ َ
                                                        ْ
                  ْ
                                                               َ ْ ُ َ ْ َ ُ ْ
                                                          َ
                                                                                         َ
                                             ْ ْ
                             َ
              ُ َ ََ
                                    َ
                                          ْ
          125         Arabic  for Advanced Secondary Schools             Student’s Book                                 Student’s Book
                                                                                            30/06/2024   17:58
     ARABIC LANGUAGE FORM FIVE.indd   125
     ARABIC LANGUAGE FORM FIVE.indd   125                                                   30/06/2024   17:58
   127   128   129   130   131   132   133   134   135   136   137