Page 156 - SayansiStd4
P. 156

inavyoonekana katika Kielelezo namba 49.






          FOR ONLINE READING ONLY















                   Kielelezo namba 49: Programu ya kumfanya ‘Sprite’ aende juu
              10.  Chagua  ‘Toa Nakala Nyingine’, kisha  peleka  kipanya

                    upande wa chini na ubofye kitufe cha kushoto mara moja.
                    Utakuwa umeunda program ya  pili kwa kutoa nakala
                    ya programu ya kwanza kama inavyoonekana  katika
                    Kielelezo namba 50.
































                          Kielelezo namba 50: Programu iliyotolewa nakala





                                                   149




                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   149                                  14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   149
   151   152   153   154   155   156   157   158   159   160   161