Page 153 - SayansiStd4
P. 153
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 45: Programu kwa ajili ya kishale juu na kishale
chini
14. Cheza mchezo wako kwa kutumia kitufe cha kwenda
juu na kitufe cha kwenda chini. Vitufe hivi vinapatikana
katika kibodi cha kompyuta yako. Je, umeona na kusikia
nini?
15. Katika bloku ya ‘songa hatua’, badilisha kutoka hatua 10
kwenda hatua 50.
16. Badilisha bloku ya ‘zunguka digrii’, badilisha kutoka digrii
10 kwenda digrii 30.
17. Kisha rudia kucheza mchezo wako kwa kutumia vitufe
vya kwenda juu na kwenda chini. Je, nini utofauti wa
matokeo unayoyaona sasa na yale uliyoyaona kabla ya
kubadilisha hatua na digrii?
146
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 146
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 146 14/01/2025 18:39