Page 157 - SayansiStd4
P. 157

11.  Katika programu ya pili, ndani ya bloku ya ‘wakati kitufe
                    cha kinapobonyezwa’ badilisha  kishale  kwenda  ‘kishale
                    chini’. Kisha ndani ya bloku ya ‘elekeza kwa mwelekeo’
                    badilisha  nyuzi kwenda nyuzi 180. Programu itabadilika
          FOR ONLINE READING ONLY
                    kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 51.



































                 Kielelezo namba 51: Programu iliyotolewa nakala na kubadilishwa
                                             nyuzi na hatua

              12.  Toa nakala nyingine (kama ulivyofanya katika hatua
                    namba 9). Iweke programu hiyo upande wa kulia. Kisha

                    badilisha kishale kwenda ‘kishale kulia’ na mwelekeo uwe
                    nyuzi ‘90’.

              13.  Toa nakala nyingine tena (kama ulivyofanya katika hatua

                    namba 11).  Iweke programu hiyo upande wa kushoto.
                    Kisha badilisha kishale kwenda ‘kishale kulia’ na mwelekeo
                    uwe nyuzi ‘270’. Hizo nyuzi zitabadilika zenyewe na kuwa
                    ‘-90’.






                                                   150



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   150
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   150                                  14/01/2025   18:39
   152   153   154   155   156   157   158   159   160   161   162