Page 149 - SayansiStd4
P. 149
8. Katika chumba cha kwanza cha bloku ya kubwa kuliko,
andika namba 10.
9. Katika chumba cha pili cha bloku ya kubwa kuliko, andika
namba 6.
FOR ONLINE READING ONLY
10. Bofya menyu ya bloku za ‘Sauti’.
11. Buruta na dondosha bloku ya ‘cheza sauti hadi ikamilike’
ndani ya bloku ya ‘ikiwa basi’ kama inavyoonekana
kwenye Kielelezo namba 40.
Kielelezo namba 40: Kuingiza bloku ya sauti ndani ya bloku ya ikiwa
basi
12. Utapata programu kama inavyooneshwa katika Kielelezo
namba 41.
Kielelezo namba 41: Programu ya kompyuta inayocheza sauti ikiwa
hali ni ya kweli
142
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 142
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 142 14/01/2025 18:39