Page 145 - SayansiStd4
P. 145
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 35: Kuburuta bloku ya sauti ndani ya bloku ya rudia
7. Utapata programu kama inavyooneshwa katika Kielelezo
namba 36.
Kielelezo namba 36: Programu ya kucheza sauti inayojirudia
8. Cheza mchezo huo na uhesabu sauti imesikika mara
ngapi.
9. Badilisha namba kutoka 10 kwenda 15. Cheza sauti hiyo
tena na uhesabu sauti hiyo imesikika mara ngapi?
138
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 138
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 138 14/01/2025 18:39