Page 140 - SayansiStd4
P. 140

7.  Buruta na dondosha bloku ya ‘ikiwa kwenye ukingo wa

                     jukwaa, rejesha’ kwenye eneo la kuandikia.

               8.  Unganisha bloku ya ‘ikiwa kwenye ukingo wa jukwaa,
          FOR ONLINE READING ONLY
                     rejesha’ kwenye bloku ya ‘zunguka digrii/nyuzi’.

































                  Kielelezo namba 29: Kuunganisha bloku mbalimbali za mwendo

               9.  Utapata programu  kamili  kama inavyoonekana  katika
                     Kielelezo namba 30.



















                             Kielelezo namba 30: Programu iliyokamilika





                                                   133




                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   133
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   133                                  14/01/2025   18:39
   135   136   137   138   139   140   141   142   143   144   145