Page 136 - SayansiStd4
P. 136
1. Bofya menyu ya ‘Faili’.
2. Chagua ‘Hifadhi kwa kompyuta yako’ kama inavyoonekana
kwenye Kielelezo namba 25.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 25: Hatua za awali za kuhifadhi kazi yako kwenye
kompyuta
3. Kisanduku cha ‘Save As’ kitajitokeza kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 26.
Kielelezo namba 26: Hatua za mwisho za kuhifadhi kazi kwenye
kompyuta
129
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 129
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 129 14/01/2025 18:39