Page 131 - SayansiStd4
P. 131

Usimbaji
              Usimbaji ni kuandika maelekezo kwenye kompyuta ili kufanya

              kazi maalum. Katika sura hii utasimba kwa kutumia programu
              ya Scratch. Programu ya Scratch inatumia lugha ya programu
          FOR ONLINE READING ONLY
              ya bloku kurahisisha uundaji wa michezo sahili. Programu hii

              inaweza kupakuliwa kutoka https://scratch.mit.edu/download

              Kufungua programu ya Scratch

              Fuata  hatua zifuatazo kufanya Kazi ya  kufanya namba 4  ili
              kufungua programu ya Scratch.




                 Kazi ya kufanya namba 5:  Kufungua programu ya ‘Scratch’


               Kufungua programu ya ‘Scratch’, fuata hatua zifuatazo:

               Hatua

               Kufungua programu ya Scratch tumia moja ya njia katika
               Kielelezo namba 18.

               1.  Bofya kwenye kitufe cha ‘Window’ kama inavyoonekana
                     kwenye Kielelezo namba 18.























              (a)  Kutafuta Scratch kwenye         (b)  Kama Scratch haipo kwenye
                  orodha                               orodha

                   Kielelezo namba 18: Hatua za kufungua programu ya Scratch



                                                   124



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   124                                  14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   124
   126   127   128   129   130   131   132   133   134   135   136