Page 129 - SayansiStd4
P. 129
Kielelezo namba 15: Tabaka la kwanza la ukuta lililopakwa rangi
4. Chora tabaka la pili juu ya tabaka la kwanza na upake rangi
FOR ONLINE READING ONLY
ya machungwa na bluu. Kielelezo namba 16 kinaonesha
tabaka la pili la ukuta juu ya tabaka la kwanza.
Kielelezo namba 16: Tabaka la kwanza na la pili la ukuta
5. Endelea kuongeza tabaka hadi ufikie tabaka la sita.
Hakikisha miundo ya rangi katika tabaka inaonekana
kama iliyopo kwenye Kielelezo namba 17
Kielelezo namba 17: Ukuta uliokamilika wenye matabaka sita
Zoezi
1. Taja maumbo unayoweza kuchora kwa kutumia programu
ya Paint.
2. Andika hatua za kupaka rangi umbo kwa kutumia
programu ya Paint.
3. Programu ya ‘Paint’ haina umbo la mraba. Utafanya nini
kuhakikisha unachora umbo la mraba kwa kutumia umbo
la mstatili lililopo katika programu ya ‘Paint’?
122
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 122
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 122 14/01/2025 18:39