Page 125 - SayansiStd4
P. 125
3. Chagua ‘PNG picture’. Pia, unaweza kuchagua ‘JPEG
picture’ au BMP picture’. Angalia Kielelezo namba 9(a).
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 9(a): Hatua za awali za kuhifadhi kazi yako
4. Bofya ‘Documents’ kama inavyoonekana katika Kielelezo
namba 9 (b).
5. Andika jina la faili lako. Kwa mfano, andika ‘Shape 1’ kama
ilivyo katika Kielelezo namba 9 (b).
6. Bofya ‘Save’.
Kielelezo namba 9(b): Hatua za mwisho za kuhifadhi kazi yako
118
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 118
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 118 14/01/2025 18:39