Page 124 - SayansiStd4
P. 124
5. Bofya kwenye zana ya mduara ‘circle’ kama inavyooneshwa
katika Kielelezo namba 8.
6. Weka mshale wa kipanya eneo la juu la mteremko, bofya
na shikilia kitufe cha kushoto cha kipanya uchore mduara
FOR ONLINE READING ONLY
mdogo kama inavyooneshwa katika Kielelezo namba 8.
7. Weka mshale wa kipanya eneo la kati la mteremko, bofya
na shikilia kitufe cha kushoto cha kipanya uchore mduara
mkubwa kiasi kama inavyooneshwa katika Kielelezo
namba 8.
8. Weka mshale wa kipanya eneo la chini la mteremko, bofya
na shikilia kitufe cha kushoto cha kipanya uchore mduara
mkubwa kama inavyooneshwa katika Kielelezo namba 8.
Kielelezo namba 8: Pembetatu mraba na maduara
Kuhifadhi kazi yako
Kuhifadhi kazi yako kupitia programu ya ‘Paint’, fuata hatua
zifuatazo:
1. Bofya kwenye ‘File’ kama inavyoonesha katika Kielelezo
namba 9(a).
2. Bofya ‘Save as’.
117
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 117
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 117 14/01/2025 18:39