Page 122 - SayansiStd4
P. 122
Programu ya ‘Paint’ itafunguka. Kielelezo namba 4 kinaonesha
sehemu za programu ya Paint.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 4: Vipengele vya programu ya paint
Uchoraji wa maumbo
Kazi ya kufanya namba 3: Kuchora maduara yakiwa
kwenye mteremko
Hatua
1. Bofya kwenye zana ya pembetatu mraba ‘Right angled
triangle’ kama inavyooneshwa katika Kielelezo namba
5.
Kielelezo namba 5: Kuchagua zana ya pembetatu mraba
115
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 115
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 115 14/01/2025 18:39