Page 121 - SayansiStd4
P. 121
Kazi ya kufanya namba 2
Tazama Kielelezo namba 2 na utaje maumbo matatu
FOR ONLINE READING ONLY
yanayofuata katika mfuatano.
Kuunda na kupanga maumbo kimantiki
Kuna programu mbalimbali za kompyuta zinazotumika kuchora
maumbo. Katika sehemu hii, utatumia programu inayoitwa
Paint kuchora maumbo tofauti na kuyapanga kwa mantiki.
Kufungua program ya paint
Hatua za kufungua programu ya Paint kwa kutumia Windows 11
zinaonyeshwa kwenye Kielelezo namba 3. Mahali pa upau wa
utafutaji inaweza kutofautiana kidogo katika matoleo mengine
ya Windows.
Hatua
1. Bofya kwenye
kitufe cha
‘Windows
Start’ kama
inavyoonesha
katika
Kielelezo
namba 3.
2. Andika ‘Paint’
katika upau
wa utafutaji.
3. Bofya ‘Paint’.
Kielelezo namba 3: Kufungua programu ya Paint
114
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 114 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 114