Page 116 - SayansiStd4
P. 116
(a) mpitisho
(b) msafara
(c) mpindisho
FOR ONLINE READING ONLY
(d) mnururisho
6. Kasi ya nishati ya sauti ni ndogo zaidi kwenye _____.
(a) yabisi
(b) vimiminika
(c) hewa
(d) yabisi na vimiminika
7. Nishati inayoweza kusafiri kutoka kwenye jotoridi kubwa
kwenda kwenye jotoridi dogo ____.
(a) nishati ya sauti
(b) nishati ya mwanga
(c) nishati ya upepo
(d) nishati ya joto
Sehemu B: Andika KWELI kwa sentensi sahihi na SI KWELI
kwa sentensi isiyo sahihi
8. Radio ni kifaa cha mawasiliano kinachotoa nishati ya sauti.
9. Taswira hutokea katika vitu visivyong’aa na nyororo.
10. Sauti husafiri katika hewa, vimiminika na vitu yabisi.
11. Miale ya mwanga hupinda inaposafiri kutoka kwenye hewa
kwenda kwenye maji.
12. Nishati ya sauti hutumika katika mawasiliano.
13. Mkono wa sufuria na pasi hutengenezwa kwa chuma ili
uweze kuzuia joto kupita.
109
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 109 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 109