Page 114 - SayansiStd4
P. 114

Uhusiano kati ya nishati mbalimbali

              Nishati ya umeme inaweza kubadilishwa kutoka nishati moja
              kwenda  nyingine  kutegemeana  na kifaa kilichotumika.  Kwa
              mfano, glopu katika kurunzi hubadilisha nishati ya umeme
          FOR ONLINE READING ONLY
              kutoka kwenye selikavu na kutoa nishati ya mwanga na joto.

              Chunguza kwa makini matendo yanayofanyika katika Kielelezo
              namba 18, kisha fanya kazi namba 11.

















                        (a)                        (b)                         (c)


                 Kielelezo namba 18: Matumizi ya nishati ya mwanga, sauti na joto



                Kazi ya kufanya namba 11



               Kuchunguza  aina  za nishati katika mazingira  na uhusiano
               wake.

               Tumia maktaba, matini mtandao au vyanzo vingine vya taarifa
               kufanya yafuatayo:


               1.  Orodhesha aina za nishati zinazoonekana  katika
                     Kielelezo namba 18 (a), 18 (b) na 18 (c).


               2.  Bainisha  uhusiano  wa nishati zinazoonekana  katika
                     Kielelezo namba 18 (a), 18 (b) na 18 (c).









                                                   107




                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   107
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   107                                  14/01/2025   18:39
   109   110   111   112   113   114   115   116   117   118   119