Page 115 - SayansiStd4
P. 115
Zoezi la marudio
Sehemu A: Chagua jibu sahihi
1. Kitu chochote kinapogongwa hutoa mlio maalumu ambao
FOR ONLINE READING ONLY
huitwa _____.
(a) zeze
(b) sauti
(c) ngoma
(d) kengele
2. Sauti ikigonga kwenye ukuta na kurudi huitwa _____.
(a) mpitisho
(b) mwanga
(c) mwangwi
(d) msafara
3. Chanzo kikuu cha nishati ya mwanga ni _____.
(a) mshumaa
(b) mwezi
(c) jua
(d) moto
4. Mwanga husafiri katika msitari _____.
(a) unaopungua unene
(b) ulioonyoka
(c) uliopinda
(d) uliokunjika
5. Joto husafiri katika maada yabisi kama chuma na bati kwa
njia ya _____.
108
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 108
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 108 14/01/2025 18:39