Page 120 - SayansiStd4
P. 120
FOR ONLINE READING ONLY
(a) Muundo wa asili (b) Muundo wa kutengeneza
Kielelezo namba 1: Mifano ya miundo
Kazi ya kufanya namba 1
Angalia Kielelezo namba 1 na ueleze mpangilio wa kimantiki
wa kila picha.
Unaweza pia kuunda muundo kwa kuchanganya maumbo
tofauti kwa njia ya kimantiki kama inavyooneshwa kwenye
Kielelezo namba 2. Unapaswa kufikiria kimantiki kuhusu
mpangilio wa maumbo ili kutambua ni umbo gani linaanza
na ni umbo gani linafuata. Pia, unapaswa kuwa na wazo la
muundo wa mwisho unaotaka kuunda.
Kielelezo namba 2: Maumbo tofauti yaliyopangiliwa kimantiki kuwa
muundo
113
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 113
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 113 14/01/2025 18:39