Page 117 - SayansiStd4
P. 117

14.  Runinga hutoa nishati ya sauti tu.

              Sehemu C:  Oanisha maneno ya Sehemu A na Sehemu B ili

                             kuunda sentensi yenye maana iliyosahihi.
          FOR ONLINE READING ONLY
              15.


                Sehemu A                   Sehemu B

                (i)  Kivuli                (a)  Nyota na mwezi

                (ii)  Kuni                 (b)  Umbo lenye giza linalotokea
                                                 baada  ya mwanga  kuzuiwa  na
                (iii)  Mstari mnyoofu            kitu

                (iv)  Midia     angavu     (c)  Hutoa nishati ya mwanga na
                      mbili tofauti              joto baada ya kuchomwa

                (v)  Akisi                 (d)  Hutokana  na mitetemo ya vitu

                (vi)  Taswira                    mbalimbali

                (vii) Sauti                (e)  Namna miale ya mwanga
                                                 inavyosafiri
                (viii) Jua
                                           (f)  Ni matokeo ya picha au mchoro
                (ix)  Mwangwi                    unaojitokeza  kwenye nyuso
                (x)  Gitaa, kengele              nyororo na zinazong’aa
                      na kinanda           (g)  Husababisha mwanga kupinda


                                           (h)  Chanzo kikuu cha nishati ya
                                                 mwanga na joto

                                           (i)  Kitendo  cha miale  ya mwanga
                                                 kurudi  baada  ya kugonga
                                                 kwenye uso unaong’aa au laini

                                           (j)  Sauti iliyoakisiwa  baada  ya
                                                 kukutana na kitu kigumu

                                           (k)  Vyanzo vya nishati ya sauti

                                           (l)  Vitu vigumu, vimiminika na gesi







                                                   110



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   110
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   110                                  14/01/2025   18:39
   112   113   114   115   116   117   118   119   120   121   122