Page 123 - SayansiStd4
P. 123
2. Weka mshale wa kipanya kwenye eneo la kuchora.
3. Bonyeza kitufe cha kushoto cha kipanya na ushikilie
kisha, ukiburute kwa uelekeo kama inavyooneshwa katika
Kielelezo namba 6.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 6: Kuchora umbo la pembetatu mraba
4. Utapata umbo la pembetatu mraba linalofanana na umbo
lililopo katika Kielelezo namba 7.
Kielelezo namba 7: Pembetatu mraba inayounda mteremko
116
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 116 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 116