Page 127 - SayansiStd4
P. 127
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 11: Pembetatu mraba iliyopakwa rangi nyekundu
4. Bofya kwenye rangi ya njano’Yellow’, kisha bofya ndani ya
eneo la duara dogo zaidi la kwanza.
5. Bofya kwenye rangi ya zambarau ‘Purple’, kisha bofya
ndani ya duara la pili.
6. Bofya kwenye rangi ya pinki ‘Rose’, kisha bofya ndani ya
duara la tatu.
Utapata maumbo yenye rangi kama inavyooneshwa katika
Kielelezo namba 12.
Kielelezo namba 12: Pembetatu mraba na maduara yaliyopakwa rangi
120
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 120
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 120 14/01/2025 18:39