Page 132 - SayansiStd4
P. 132
2. Chagua programu ya Scratch kufungua kama
inavyoonekana kwenye Kielelezo namba 18(a).
Kama programu ya Scratch haipo kwenye orodha,
andika neno ‘Scratch’ katika upau wa kutafuta kama
FOR ONLINE READING ONLY
inavyoonekana katika Kielelezo namba 18 (b).
3. Bofya ‘Scratch’ itafunguka kama inavyoonekana katika
Kielelezo namba 19.
Kielelezo namba 19: Programu ya Scratch
Kubadilisha lugha
Chagua lugha ya Kiswahili
kama inavyooneshwa
kwenye Kielelezo namba 20.
Kielelezo namba 20: Kuchagua lugha ya
Kiswahili katika Scratch
125
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 125 14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 125