Page 135 - SayansiStd4
P. 135
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 23: Kuburuta na kuunganisha bloku
6. Bofya kibendera cha kijani ‘Anza’ kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 24 ili kuchezesha Sprite.
Kielelezo namba 24: Kucheza mchezo wa kujongea
7. Badilisha hatua kutoka 10 kwenda 70, kisha cheza tena.
Badilisha tena hatua kutoka 70 kwenda 130, kisha cheza
tena. Je, umeona nini baada ya kubadilisha idadi ya hatua?
Kuhifadhi kazi
Kuhifadhi kazi yako kwa kutumia programu ya Scratch, fuata
hatua zifuatazo:
128
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 128
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 128 14/01/2025 18:39