Page 126 - SayansiStd4
P. 126
Baada ya kufungua programu na kuhifadhi kazi, hatua
zinazofuata ni kuweka rangi.
Kupaka rangi maumbo
FOR ONLINE READING ONLY
Kupaka rangi fuata hatua zifuatazo:
Hatua
1. Bofya kwenye rangi nyekundu ‘Red’ kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 10.
2. Bofya jaza ‘Fill’.
Kielelezo namba 10: Hatua za kupaka rangi maumbo
3. Bofya ndani ya eneo la pembetatu mraba na paka
rangi nyekundu. Pembetatu iliyopakwa rangi nyekundu
inaonekana kwenye Kielelezo namba 11.
119
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 119
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 119 14/01/2025 18:39