Page 60 - Culture, Arts & Sports
P. 60

TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION

                                    FOR ONLINE  USE ONLY

           Let us recite a poem about corruption
                                       DO NOT DUPLICATE
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Rushwa ni kitu kibaya, kweli tuikataeni

           Inaturudisha nyuma, kwa maendeleo yetu
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Kuna rushwa mbalimbali, za fedha pia na vitu
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
          FOR ONLINE  USE ONLY
           Hima tuzikimbieni, kamwe tusizikubali.
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Mwenzako akikuomba, uandike kazi yake

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Akupe hela ya pipi, hiyo rushwa ikatae
           Ukifanyiwa matendo, yale yasiyo ya utu
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Ili upewe chochote, hiyo rushwa ikatae.
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Tutakapokuwa wakubwa, tusije wadai watu
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Watoe kitu chochote, ili tuwahudumie.

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Let us recite a poem about our culture

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Sisi ni Watanzania, tunajivunia mengi
           Kaa chini sikiliza, tuanze kukutajia
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Tunavyo vyakula vyetu, vya tangu enzi za kale
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Ugali nyama na wali, makande ndizi mlenda.

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Ni vyakula asilia, nguvu vinatupatia
           Hakika twajivunia, mwili vinatujengea
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Mavazi yetu jamani, kweli tunajivunia
 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Kitenge khanga gauni, kaniki shati fulana.

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Sote tukiyavalia, kweli tunapendezea

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION
           Shambani shule kazini, jamani yanatufaa.

 TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION

                                                      53

   55   56   57   58   59   60   61   62   63   64   65