Page 97 - Jiografia_Mazingira
P. 97
19. Mkoa wa Mtwara upo upande gani mwa nchi ya Tanzania?
20. Taja mikoa inayopakana na Mkoa wa Dodoma upande wa
Mashariki, Magharibi, Kusini, na Kaskazini.
FOR ONLINE READING ONLY
21. Ni mikoa gani inayopakana na Ziwa Tanganyika?
22. Ni ziwa gani linapatikana kusini mwa nchi ya Tanzania?
23. Ziwa Victoria lipo upande gani mwa nchi ya Tanzania?
24. Makao makuu ya nchi ya Tanzania yako mkoa gani?
25. Nchi ya Tanzania imepakana na nini kwa upande wa Mashariki?
90
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 90
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 90 31/10/2024 19:19