Page 92 - Jiografia_Mazingira
P. 92
(a) Ili kufanya ramani kuwa na rangi zaidi.
(b) Ili kusaidia watumiaji kuelewa vizuri zaidi.
(c) Ili kuonesha taarifa zaidi.
(d) Ili kuongeza ukubwa wa ramani.
FOR ONLINE READING ONLY
6. Skeli ya maelezo huoneshwaje kwenye ramani?
(a) Kwa kutumia namba kuonesha uwiano.
(b) Kwa kutumia mstari kuonesha umbali.
(c) Kwa kutumia maneno kuelezea uwiano.
(d) Kwa kutumia kompasi.
7. Skeli ya 1:50000 inamaanisha nini?
(a) Sentimeta 1 kwenye ramani inawakilisha sentimeta 50000
kwenye ardhi.
(b) Meta 1 kwenye ramani inawakilisha meta 50000 kwenye ardhi.
(c) Meta 1 kwenye ramani inawakilisha kilometa 50000 kwenye
ardhi.
(d) Kilometa 1 kwenye ramani inawakilisha kilometa 50000
kwenye ardhi.
8. Kwa nini ni muhimu kujua kuhusu Pande Kuu za Dunia?
(a) Kujua jinsi ya kuchora ramani.
(b) Kufahamu uelekeo na mahali.
(c) Kuelewa mifumo ya hali ya hewa.
(d) Kufahamu maumbo ya sura ya nchi.
9. Aina gani ya skeli inatumika kubadilisha umbali wa ramani kuwa
umbali halisi wa ardhi?
(a) Skeli ya mstari.
(b) Skeli ya joto.
(c) Skeli ya muda.
85
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 85 31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 85