Page 89 - Jiografia_Mazingira
P. 89
(a) ufunguo, kichwa cha ramani, chanzo
(b) alama, rangi na teknolojia ya mfumo wa taarifa za kijiografia
(c) programu maalumu
(d) dira na skeli
FOR ONLINE READING ONLY
3. Iwapo umbali kutoka Kituo A mpaka B kwenye ramani ni Sm 50
na skeli ni 1:100000, je umbali halisi ardhini ni kilometa ngapi?
(a) Kilometa 5
(b) Kilometa 25
(c) Kilometa 50
(d) Kilometa 100
4. Sehemu za mabonde kwenye ramani huoneshwa kwa
kutumia___________________.
(a) mistari ya kontua iliyopinda kuelekea ndani
(b) mistari ya kontua iliyokaribiana sana
(c) mistari ya kontua iliyombalimbali
(d) mstari ya kontua iliyonyooka
5. Mara nyingi rangi ya bluu kwenye ramani inawakilisha nini?
(a) Vyanzo vya maji kama mito na maziwa
(b) Misitu
(c) Milima
(d) Majengo
B. Maswali ya kuoanisha
6. Oanisha maneno yaliyopo katika safu A na yale ya safu B kupata
maana kamili
Na. Safu A Safu B
(i) Alama ya ncha (a) Husaidia kufanya maamuzi sahihi ya
ya Kaskazini usimamizi wa rasilimali za nchi.
82
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 82
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 82 31/10/2024 19:19