Page 88 - Jiografia_Mazingira
P. 88
3. Iwapo unaona doti nyingi zilizokaribiana kwenye ramani,
inamaanisha nini?
(a) Kuna watu wachache
(b) Kuna watu wengi
FOR ONLINE READING ONLY
(c) Kuna miti mingi
(d) Kuna maji mengi
4. Doti zilizotawanyika kwenye ramani zinaashiria nini?
(a) Kuna watu wengi
(b) Kuna watu wachache
(c) Kuna magari mengi
(d) Kuna shule nyingi
5. Ni njia ipi kati ya zifuatazo inaweza kukusaidia kubaini
mtawanyiko wa watu na vitu?
(a) Kitabu cha hadithi
(b) Redio
(c) Mifumo ya Taarifa za Kijiografia (GIS)
(d) Saa ya mkononi
Zoezi la marudio
A: Chagua herufi ya jibu sahihi
1. Mambo muhimu ya kuzingatia ili kubaini usahihi wa mipaka ya
kiutawala ya eneo katika ramani ni pamoja na ___________________.
(a) kutumia ramani yenye taarifa nyingi
(b) kutumia ramani yenye chanzo cha taarifa za kuaminika
(c) kutumia ramani yenye rangi zinazokubalika
(d) kutumia ramani yenye kuonesha mwinuko
2. Katika ramani mipaka ya kiutawala utaitambua kwa kutumia
_________________.
81
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 81
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 81 31/10/2024 19:19