Page 87 - Jiografia_Mazingira
P. 87
Maswali
1. Baini idadi ndogo zaidi ya watu.
2. Mkoa upi una idadi kubwa zaidi ya watu?
FOR ONLINE READING ONLY
Kazi ya kufanya namba 13: Tumia ‘Google Maps’
1. Tumia simujanja, tabuleti, au kompyuta kufungua kivinjari
chako, kisha andika ‘Google My Maps’;
2. Kwa kutumia kiolesura cha ‘Google My Maps’ bofya sehemu
ya kutafuta (yaani ‘search’);
3. Andika jina la wilaya yako kwenye sehemu ya kutafuta,
kisha bofya;
4. Baada ya hapo tafuta idadi ya shule za msingi zinazopatikana
katika wilaya yako, mfano andika, shule za msingi wilaya
ya Chamwino; na
5. Elezea mtawanyiko wa shule za msingi katika wilaya yako.
Zoezi la kwanza
1. Eleza umuhimu wa ufunguo wa ramani katika kubaini
mtawanyiko wa watu na vitu katika ramani.
2. Alama ya watu wachache kwenye ramani kwa kawaida
inawakilisha maeneo gani?
(a) Sehemu za mijini
(b) Sehemu za vijijini
(c) Karibu na mito
(d) Karibu na bahari
80
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 80
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 80 31/10/2024 19:19