Page 90 - Jiografia_Mazingira
P. 90
(ii) Kontua (b) Huathiri maisha ya viumbe hai
(iii) Vidoti (c) Hutumika kubaini upungufu wa pembejeo
nchini.
(iv) GIS (d) Hutumika kuonesha miteremko mikali na
FOR ONLINE READING ONLY
ya wastani katika ramani.
(v) Mipaka ya (e) Hutumika kuonesha mtawanyiko wa watu.
kiutawala
(f) Kubaini uelekeo na mahali kwenye ramani.
(g) Mfumo wa taarifa za kijiografia.
Maswali ya majibu mafupi
7. Eleza namna mistari ya kontua inavyoonekana katika ramani
kuonesha maumbo ya sura ya nchi yafuatayo;
(a) Mteremko mkali;
(b) Tambarare; na
(c) Bonde.
8. Eleza jinsi unavyoweza kutumia ramani kupanga safari ya
kutembelea hifadhi za taifa.
9. Utawezaje kubaini uelekeo kwa kutumia ramani?
10. Utawezaje kubaini umbali halisi kwa kutumia ramani?
Msamiati
Ni mistari inayochorwa kwenye ramani kuunganisha
Kontua:
sehemu zilizo na kimo sawa kutoka usawa wa bahari.
Ni mfumo unaotumia satelaiti kutambua mahali
GPS:
halisi ambapo vitu mbalimbali vinapatikana duniani
83
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 83
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 83 31/10/2024 19:19