Page 93 - Jiografia_Mazingira
P. 93
(d) Skeli ya umbali.
10. Alama ya ncha ya kaskazini hutumika kubaini uelekeo gani
katika ramani?
(a) Mashariki
FOR ONLINE READING ONLY
(b) Kusini
(c) Kaskazini
(d) Magharibi
11. Programu gani inaweza kutumika kupima umbali kwenye
ramani kidijitali?
(a) “Google My Maps.”
(b) Kikokotoo
(c) Saa
(d) Kipimajoto.
12. Katika ramani yenye skeli ya 1:50000, sentimeta 2 kwenye
ramani zinawakilisha kilometa ngapi kwenye ardhi?
(a) Kilometa 1.
(b) Kilometa 2.
(c) Kilometa 5.
(d) Kilometa 10.
Sehemu B: Maswali ya majibu mafupi
13. Hatua ya kwanza kupima umbali kwenye ramani kwa kutumia
kipande cha karatasi ni ipi?
14. Ni alama gani mara nyingi hutumika kuonesha mwinuko kwenye
ramani?
15. Alama gani kwenye ramani mara nyingi hutumika kuonesha
mipaka ya kiutawala?
16. Ni njia gani zinaweza kutumika kupima umbali usionyooka
katika ramani?
86
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 86
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 86 31/10/2024 19:19