Page 94 - Jiografia_Mazingira
P. 94
17. Eleza vitu unavyopaswa kuviangalia kwenye ramani ili kukusaidia
kufika sehemu ambayo ni mara yako ya kwanza kufika.
Sehemu C:
18. Oanisha maneno yaliyopo safu A na yale ya safu B kupata
FOR ONLINE READING ONLY
maana kamili.
Na. Safu A Safu B
(i) Katografia (a) kivuli huwa upande wa Magharibi.
(ii) Husaidia kubaini (b) inaonesha nchi, mikoa, wilaya pamoja
uelekeo kwenye na mipaka yake.
ramani
(iii) Alama za ramani (c) kuwakilisha umbali kwenye ramani na
umbali halisi ardhini.
(iv) Kuchora ramani za (d) husaidia kubaini njia kwa ajili ya safari.
kidijitali
(v) Ufunguo (e) Inaonesha vipengele vya hali ya hewa
kama mvua, na joto.
(vi) Ramani sahili (f) uchoraji wa ramani kwa kutumia
progamu za kompyuta.
(vii) Ramani ya kisiasa (g) taaluma inayohusu uchoraji wa ramani.
87
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 87
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 87 31/10/2024 19:19