Page 82 - Jiografia_Mazingira
P. 82
Maswali
1 Wilaya gani zimepakana na wilaya ya Kasulu upande wa: (a)
Magharibi (b) Kas-mas (c) Kus-magh (d) Kusini.
2 Msitu wa Makere umepakana na nini kwa upande wa Mashariki?
FOR ONLINE READING ONLY
3 Bainisha mpaka unaotenganisha hifadhi ya wanyamapori ya
Moyowosi na Msitu wa Makere.
4 Kata ya Kitaga imepakana na nini kwa upande wa Mashariki?
5 Kata ya Kwaga imepakana na nini kwa upande wa Kus-Mas?
Kazi ya kufanya namba 9
Chunguza Kilelezo namba 27, kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 27: Mkoa wa Mtwara
75
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 75
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 75 31/10/2024 19:19