Page 81 - Jiografia_Mazingira
P. 81
inayotofautiana kwa unene umbo au rangi hutumika kutofautisha
aina ya mipaka ya kiutawala. Baadhi ya mipaka hubainika
kwa kuwa na maumbo mbalimbali kama vile mito, maziwa,
milima na barabara.
Kwa ujumla, kutambua mipaka ya kiutawala ni muhimu kwa
FOR ONLINE READING ONLY
madhumuni mbalimbali, ikiwemo utawala bora, kufanya maamuzi
na usimamizi wa rasilimali za umma na kuwezesha utekelezaji wa
sera na mipango ya maendeleo.
Kazi ya kufanya namba 8
Chunguza Kilelezo namba 26, kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 26: Wilaya ya Kasulu
74
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 74
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 74 31/10/2024 19:19