Page 76 - Jiografia_Mazingira
P. 76
(e) Jumlisha umbali uliopima kupata umbali kamili kutoka kituo A
hadi B; na
(f) Badili umbali uliopatikana kuwa umbali halisi katika ardhi kwa
kutumia skeli ya uwakilishi wa sehemu (uwiano) kama ilivyofanyika
FOR ONLINE READING ONLY
katika upimaji wa umbali wa mstari ulionyooka kwa kutumia
kipande cha karatasi. Kwa mfano, ikiwa umbali wa ramani wa
jumla ulipatikana katika hatua (d) ni sentimeta 14, na skeli ya
uwiano ni 1:50000, basi umbali halisi wa ardhi kutoka kituo A
hadi B utakuwa ni sawa na kilometa 7.
Kazi ya kufanya namba 6
Chunguza Kielelezo namba 20, kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 20: Ramani ya Ulole
69
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 69
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 69 31/10/2024 19:19