Page 75 - Jiografia_Mazingira
P. 75
(b) Gawa umbali unaohitajika kupimwa katika vipande vifupivifupi
ambavyo vimenyooka na weka alama kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 17.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 17: Vipande vilivyo nyooka vinavyohitajika kupimwa
kutoka kituo A hadi B
(c) Tumia bikari kupata urefu wa kila kipande kimoja baada ya
kingine kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 18;
Kielelezo namba 18: Umbali usionyooka unaopimwa kwa kutumia bikari
(d) Pima umbali wa kila sehemu ulizozigawa kwa kutumia rula na
uzinakili katika karatasi kama inavyoonekana katika Kielelezo
namba 19;
Kielelezo namba 19: Rula na bikari
68
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 68 31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 68