Page 78 - Jiografia_Mazingira
P. 78
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 22: Kutafuta eneo unalotaka kupima umbali
(c) Munguri FDC ikionekana kwenye “Google My Maps”, ongeza
ukubwa kwa kusogeza gurudumu la kipanya nyuma ili kuona
Munguri FDC na shule ya msingi Munguri kama inavyoonekana
kwenye Kielelezo namba 23. Hii itaonesha njia ya kufuata
wakati wa kupima umbali kutoka Munguri FDC hadi shule ya
msingi Munguri.
(a)
71
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 71
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 71 31/10/2024 19:19