Page 80 - Jiografia_Mazingira
P. 80
uliopatikana (4) kama inavyoonekana katika Kielelezo namba
25. Hivyo, umbali kutoka Munguri FDC hadi shule ya msingi
Munguri ni Kilometa 1.46.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 25: Kupima umbali kutoka Munguri FDC hadi shule ya msingi
Munguri kidijitali
Kutumia ramani kubaini mipaka ya kiutawala
Kazi ya kufanya namba 7
Tumia vyanzo vya kuaminika vya mtandaoni, atlasi au
vitabu, soma ramani ya Tanzania na ubaini mipaka mbalimbali
ya kiutawala.
Yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia ili kubaini mipaka ya
kiutawala kwa usahihi:
(a) Kuchagua ramani sahihi;
(b) Kutambua chanzo cha taarifa kinachoaminika ikiwamo “Google
Maps”, “Openstreet Map” au programu maalumu za serikali; na
(c) Kutambua alama na ishara zilizotumika kwenye ramani
kuonesha mipaka ya kiutawala. Mara nyingi alama ya mistari
73
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 73
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 73 31/10/2024 19:19