Page 74 - Jiografia_Mazingira
P. 74
1000 (1)
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
FOR ONLINE READING ONLY
(3) (2)
1000
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
Kielelezo namba 15: Kubadilisha umbali uliopimwa katika ramani kwa
kutumia uzi kuwa umbali halisi wa ardhi
(d) Kwa kutumia skeli ya uwakilishi wa sehemu (uwiano), umbali
wa ardhi kutoka kituo A hadi B unaweza kukokotolewa kama
GSPublisherVersion 0.5.100.100
ilivyofanyika katika upimaji wa umbali wa mstari ulionyooka
kwa kutumia kipande cha karatasi. Ikiwa skeli ya uwakilishi
ni 1:50000 na umbali katika ramani kati ya fundo mbili ni Sm
3, umbali kati ya kituo A na B katika ardhi ni Km 1.5.
2. Kutumia bikari
Zifuatazo ni hatua za kupima umbali katika ramani kwa kutumia bikari:
(a) Baini vituo viwili, yaani A na B, kama inavyoonekana katika
Kielelezo namba 16.
Kielelezo namba 16: Umbali usionyooka kutoka kituo A hadi B unaohitajika
kupimwa
67
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 67
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 67 31/10/2024 19:19