Page 71 - Jiografia_Mazingira
P. 71
(d) Kwa kutumia skeli ya uwakilishi wa sehemu (uwiano), ili
kupata umbali halisi wa ardhi kutoka kituo A hadi B unaweza
kukokotolewa kama ilivyofanyika katika upimaji wa umbali
ulionyooka kwa kutumia kipande cha karatasi. Kwa kuwa
umbali wa ramani wa Sm 5.5 ulipimwa katika Kielelezo namba
FOR ONLINE READING ONLY
10, na skeli ya ramani ni 1:50000, umbali wa ardhi baada ya
kukokotoa utakuwa ni Km 2.75.
Kazi ya kufanya namba 5
Chunguza Kielelezo namba 12, kisha jibu maswali yanayofuata:
Skeli 1: 600,000
Kielelezo namba 12: Ramani ya Gezaulole
64
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 64
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 64 31/10/2024 19:19