Page 66 - Jiografia_Mazingira
P. 66
Iwapo kituo B kipo katikati ya namba mbili za kwenye skeli ya mstari,
weka alama na andika namba ya kushoto mwa kituo B kwenye
karatasi iliyokunjwa kama inavyoonekana kwa wino mwekundu
katika Kielelezo namba 7(a).
FOR ONLINE READING ONLY
Kisha, hamisha kipande cha karatasi kuelekea kushoto sambamba na
skeli ya mstari kwa kuoanisha kituo B na sifuri, (0) (alama nyekundu
itakuwa upande wa kushoto wa skeli ya mstari). Chunguza namba
kwenye skeli ya mstari iliyokaribu na alama nyekundu, kisha inakili
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 7(b). Katika Kielelezo
7(a), namba iliyo kushoto ni 2 na kipimo chake ni kilometa, pia katika
kielelezo 7(b), namba iliyokaribu na alama nyekundu kwenye skeli
ya mstari ni 500 na kipimo chake ni meta. Hivyo, umbali halisi wa
ardhi kati ya kituo A na B ni kilometa 2 na meta 500.
Meta 1000 1000 500 0 1 (1) 3 Kilometa
2
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
A Karatasi iliyokunjwa 2 B
A Karatasi iliyokunjwa 2 B
(a)
1000 (2)
Meta 1000 500 0 1 2 3 Kilometa
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
A Karatasi iliyokunjwa 2 B
500
A Karatasi iliyokunjwa 2 B
500
(b)
(3)
Kielelezo namba 7: Kubadilisha umbali wa ramani kuwa umbali halisi kwenye ardhi,
kituo B kikiwa katikati ya namba mbili upande wa kulia wa skeli
ya mstari
GSPublisherVersion 0.5.100.100
GSPublisherVersion 0.6.100.100
59
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 59 31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 59